Exodus 28:9 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Kisha utachukua mawe mawili ya sardoniki ambayo utachora juu yake majina ya wana wa Israeli.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Chukua vito viwili vya shohamu, na uchore juu yake majina ya wana wa Israeli
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nawe utatwaa vito viwili vya shohamu, ya rangi ya chani-kiwiti, nawe utachora juu yake majina ya wana wa Israeli;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Kisha utachukua mawe mawili ya sardoniki ambayo utachora juu yake majina ya wana wa Israeli.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Chukua mawe mawili ya shohamu na uchore juu yake majina ya wana wa Israeli
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Chukua vito viwili vya shohamu, na uchore juu yake majina ya wana wa Israeli
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nawe utatwaa vito viwili vya shohamu rangi ya chanikiwiti, nawe utachora juu yake majina ya wana wa Israeli;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Kisha utachukua mawe mawili ya sardoniki ambayo utachora juu yake majina ya wana wa Israeli.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha uchukue vito viwili vya oniki, uchore humo majina ya wana wa Isiraeli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nawe utatwaa vito viwili vya shohamu, ya rangi ya chani-kiwiti, nawe utachora juu yake majina ya wana wa Israeli;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha utatwaa mawe mawili ya sardoniki ambayo utachora juu yake majina ya wana wa Israeli.