Exodus 29:10 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Kisha utamleta yule ndama dume mbele ya hema la mkutano. Aroni na wanawe wataweka mikono yao juu ya kichwa cha ndama huyo
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Mlete yule fahali mbele ya Hema la Kukutania, naye Haruni na wanawe wataweka mikono yao juu ya kichwa chake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha utamleta huyo ng'ombe mbele ya hema ya kukutania; na Haruni na wanawe wataweka mikono yao juu ya kichwa cha huyo ng'ombe.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Kisha utamleta yule ndama dume mbele ya hema la mkutano. Aroni na wanawe wataweka mikono yao juu ya kichwa cha ndama huyo
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Mlete yule fahali mbele ya Hema la Kukutania, naye Aroni na wanawe wataweka mikono yao juu ya kichwa chake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Mlete yule fahali mbele ya Hema la Kukutania, naye Haruni na wanawe wataweka mikono yao juu ya kichwa chake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha utamleta huyo ng'ombe mbele ya hema ya kukutania; na Haruni na wanawe wataweka mikono yao juu ya kichwa cha huyo ng'ombe.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Kisha utamleta yule ndama dume mbele ya hema la mkutano. Aroni na wanawe wataweka mikono yao juu ya kichwa cha ndama huyo
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha umlete dume la ng'ombe, afike hapo pa kuliingilia Hema la Mkutano; ndipo Haroni na wanawe wambandikie huyo dume la ng'ombe mikono yao kichwani pake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha utamleta huyo ng’ombe mbele ya hema ya kukutania; na Haruni na wanawe wataweka mikono yao juu ya kichwa cha huyo ng’ombe.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha utamuleta yule mwana-ngombe dume mbele ya hema la mukutano. Haruni na wana wake wataweka mikono yao juu ya kichwa cha mwana-ngombe yule