Exodus 29:11 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
na kumchinja mbele ya Mwenyezi-Mungu, mlangoni pa hema la mkutano.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mchinje huyo fahali mbele za Mwenyezi Mungu kwenye mlango wa Hema la Kukutania.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha utamchinja huyo ng'ombe mbele ya Bwana, mlangoni pa hema ya kukutania.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
na kumchinja mbele ya Mwenyezi-Mungu, mlangoni pa hema la mkutano.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mchinje huyo fahali mbele za BWANA kwenye mlango wa Hema la Kukutania.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mchinje huyo fahali mbele za bwana kwenye mlango wa Hema la Kukutania.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha utamchinja huyo ng'ombe mbele za BWANA, mlangoni pa hema ya kukutania.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
na kumchinja mbele ya Mwenyezi-Mungu, mlangoni pa hema la mkutano.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha umchinje huyo dume la ng'ombe mbele ya Bwana hapo pa kuliingilia Hema la Mkutano.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha utamchinja huyo ng’ombe mbele ya BWANA, mlangoni pa hema ya kukutania.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
na kumuchinja mbele ya Yawe, kwenye mulango wa hema la mukutano.