Exodus 29:15 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Kisha utamchukua mmoja wa wale kondoo dume na kumwambia Aroni na wanawe waweke mikono yao juu ya kichwa chake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Chukua mmoja wa wale kondoo dume, naye Haruni na wanawe wataweka mikono yao juu ya kichwa chake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Pia mtwae kondoo mume mmoja; na Haruni na wanawe wataweka mikono yao juu ya kichwa chake huyo kondoo mume.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Kisha utamchukua mmoja wa wale kondoo dume na kumwambia Aroni na wanawe waweke mikono yao juu ya kichwa chake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Chukua mmoja wa wale kondoo dume, naye Aroni na wanawe wataweka mikono yao juu ya kichwa chake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Chukua mmoja wa wale kondoo dume, naye Haruni na wanawe wataweka mikono yao juu ya kichwa chake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Pia mtwae kondoo dume mmoja; na Haruni na wanawe wataweka mikono yao juu ya kichwa chake huyo kondoo dume.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Kisha utamchukua mmoja wa wale kondoo dume na kumwambia Aroni na wanawe waweke mikono yao juu ya kichwa chake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha wale madume ya kondoo chukua mmoja, naye Haroni na wanawe na wambandikie huyo dume la kondoo mikono yao kichwani pake
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Pia mtwae kondoo mume mmoja; na Haruni na wanawe wataweka mikono yao juu ya kichwa chake huyo kondoo mume.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha utatwaa mumoja wa wale kondoo dume na kumwambia Haruni na wana wake waweke mikono yao juu ya kichwa chake.