Exodus 29:16 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nawe utamchinja na damu yake utairashia madhabahu pande zake zote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mchinje huyo kondoo dume, chukua damu yake na uinyunyize pande zote za hayo madhabahu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha utamchinja huyo kondoo mume, na kuitwaa damu yake, na kuinyunyiza katika madhabahu kuizunguka kando-kando.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nawe utamchinja na damu yake utairashia madhabahu pande zake zote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mchinje huyo kondoo dume, chukua damu yake na uinyunyizie pande zote za hiyo madhabahu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mchinje huyo kondoo dume, chukua damu yake na uinyunyize pande zote za hayo madhabahu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha utamchinja huyo kondoo dume, na kuitwaa damu yake, na kuinyunyiza katika madhabahu kuizunguka kandokando.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nawe utamchinja na damu yake utairashia madhabahu pande zake zote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha umchinje huyo dume la kondoo, nayo damu yake ichukue, uinyunyizie meza ya kutambikia pande zote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha utamchinja huyo kondoo mume, na kuitwaa damu yake, na kuinyunyiza katika madhabahu kuizunguka kando-kando.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nawe utamuchinja na damu yake utairushia juu ya mazabahu pande zake zote.