Exodus 29:17 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Halafu utamkata huyo kondoo vipandevipande; utaosha matumbo yake na miguu yake, uviweke vyote pamoja na kichwa na vipande vingine.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mkate huyo kondoo dume vipande vipande na usafishe sehemu za ndani pamoja na miguu, ukiviweka pamoja na kichwa na vipande vingine.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha utamkata-kata kondoo vipande vyake, na kuyaosha matumbo yake na miguu yake, na kuiweka pamoja na vipande vyake na kichwa chake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Halafu utamkata huyo kondoo vipandevipande; utaosha matumbo yake na miguu yake, uviweke vyote pamoja na kichwa na vipande vingine.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mkate huyo kondoo dume vipande vipande na usafishe sehemu za ndani pamoja na miguu, ukiviweka pamoja na kichwa na vipande vingine.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mkate huyo kondoo dume vipande vipande na usafishe sehemu za ndani pamoja na miguu, ukiviweka pamoja na kichwa na vipande vingine.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha utamkatakata kondoo vipande vyake, na kuyaosha matumbo yake na miguu yake, na kuiweka pamoja na vipande vyake na kichwa chake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Halafu utamkata huyo kondoo vipandevipande; utaosha matumbo yake na miguu yake, uviweke vyote pamoja na kichwa na vipande vingine.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha huyo dume la kondoo umchangue kuwa vipande viwili, kisha uuoshe utumbo wake na miguu yake, upate kuviweka juu y vile vipande vyake na juu ya kichwa chake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha utamkata-kata kondoo vipande vyake, na kuyaosha matumbo yake na miguu yake, na kuiweka pamoja na vipande vyake na kichwa chake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu utamukata yule kondoo vipandevipande. Utasafisha matumbotumbo yake na miguu yake, uviweke vyote pamoja na kichwa na vipande vingine.