Exodus 29:19 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Utamchukua yule kondoo mwingine, naye Aroni na wanawe wataweka mikono yao juu ya kichwa chake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Mchukue yule kondoo dume mwingine, naye Haruni na wanawe waweke mikono yao juu ya kichwa chake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha mtwae huyo kondoo wa pili; na Haruni na wanawe wataweka mikono yao juu ya kichwa chake huyo kondoo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Utamchukua yule kondoo mwingine, naye Aroni na wanawe wataweka mikono yao juu ya kichwa chake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Mchukue yule kondoo dume mwingine, naye Aroni na wanawe waweke mikono yao juu ya kichwa chake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Mchukue yule kondoo dume mwingine, naye Haruni na wanawe waweke mikono yao juu ya kichwa chake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha mtwae huyo kondoo wa pili; na Haruni na wanawe wataweka mikono yao juu ya kichwa chake huyo kondoo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Utamchukua yule kondoo mwingine, naye Aroni na wanawe wataweka mikono yao juu ya kichwa chake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha mchukue yule dume la kondoo wa pili, naye Haroni na wanawe na wambadikie huyo dume la kondoo mikono yao kichwani pake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha mtwae huyo kondoo wa pili; na Haruni na wanawe wataweka mikono yao juu ya kichwa chake huyo kondoo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Utatwaa yule kondoo mwingine, naye Haruni na wana wake wataweka mikono yao juu ya kichwa chake.