Exodus 29:23 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kutoka katika kile kikapu cha mikate isiyotiwa chachu kilicho mbele yangu mimi Mwenyezi-Mungu, utachukua mkate mmoja na andazi moja lililotiwa mafuta na mkate mwembamba mmoja.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kutoka kwa kile kikapu chenye mikate iliyotengenezwa bila chachu, kilichoko mbele za Mwenyezi Mungu, chukua mkate, andazi lililokandwa kwa mafuta, na mkate mwembamba.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
utwae na mkate mmoja wa unga, na mkate mmoja ulioandaliwa kwa mafuta, na kaki moja katika kile kikapu cha mikate isiyotiwa chachu, kilichowekwa mbele ya Bwana;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kutoka katika kile kikapu cha mikate isiyotiwa chachu kilicho mbele yangu mimi Mwenyezi-Mungu, utachukua mkate mmoja na andazi moja lililotiwa mafuta na mkate mwembamba mmoja.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kutoka kwenye kile kikapu chenye mikate isiyotiwa chachu, kilichoko mbele za BWANA, chukua mkate, andazi lililokandwa kwa mafuta na mkate mdogo mwembamba.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kutoka kwenye kile kikapu chenye mikate iliyotengenezwa bila chachu, kilichoko mbele za bwana, chukua mkate, andazi lililokandwa kwa mafuta na mkate mdogo mwembamba.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
utwae na mkate mmoja wa unga, na mkate mmoja ulioandaliwa kwa mafuta, na kaki moja katika kile kikapu cha mikate isiyotiwa chachu, kilichowekwa mbele za BWANA;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kutoka katika kile kikapu cha mikate isiyotiwa chachu kilicho mbele yangu mimi Mwenyezi-Mungu, utachukua mkate mmoja na andazi moja lililotiwa mafuta na mkate mwembamba mmoja.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Uchukue tena katika kikapu cha mikate isiyochachwa kilichowekwa mbele ya Bwana mkate mmoja na andazi moja lililotiwa mafuta na andazi jembamba moja.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
utwae na mkate mmoja wa unga, na mkate mmoja ulioandaliwa kwa mafuta, na kaki moja katika kile kikapu cha mikate isiyotiwa chachu, kilichowekwa mbele ya BWANA;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kutoka katika kile kikapu cha mikate isiyotiwa chachu kinachokuwa mbele yangu mimi Yawe, utatwaa mukate mumoja na andazi moja lililotiwa mafuta na mukate mwembamba mumoja.