Exodus 29:24 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Vyote hivi utamkabidhi Aroni na wanawe nao wataviinua juu kuwa ishara ya kunitolea tambiko mimi Mwenyezi-Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Viweke vitu hivi vyote mikononi mwa Haruni na wanawe na uviinue mbele za Mwenyezi Mungu kuwa sadaka ya kuinuliwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
nawe utavitia hivi vyote katika mikono ya Haruni, na katika mikono ya wanawe; nawe utavitikisa-tikisa viwe sadaka ya kutikiswa mbele za Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Vyote hivi utamkabidhi Aroni na wanawe nao wataviinua juu kuwa ishara ya kunitolea tambiko mimi Mwenyezi-Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Viweke vitu hivi vyote mikononi mwa Aroni na wanawe na uviinue mbele za BWANA kuwa sadaka ya kuinuliwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Viweke vitu hivi vyote mikononi mwa Haruni na wanawe na uviinue mbele za bwana kuwa sadaka ya kuinuliwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
nawe utavitia hivi vyote katika mikono ya Haruni, na katika mikono ya wanawe; nawe utavitikisatikisa viwe sadaka ya kutikiswa mbele za BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Vyote hivi utamkabidhi Aroni na wanawe nao wataviinua juu kuwa ishara ya kunitolea tambiko mimi Mwenyezi-Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Haya yote uyaweke mikononi mwa Haroni namo mikononi mwa wanawe, uyapitishe motoni mbele ya Bwana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
nawe utavitia hivi vyote katika mikono ya Haruni, na katika mikono ya wanawe; nawe utavitikisa-tikisa viwe sadaka ya kutikiswa mbele za BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Vyote hivi utavipatia Haruni na wana wake nao wataviinua juu kuwa kitambulisho cha kunitolea sadaka mimi Yawe.