Exodus 29:26 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Kisha utachukua kidari cha huyo kondoo wa kumweka wakfu Aroni, na kufanya ishara ya kunitolea mimi Mwenyezi-Mungu. Nacho kitakuwa sehemu yako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Baada ya kuchukua kidari cha huyo kondoo dume wa kuwekwa wakfu kwa Haruni, kiinue mbele za Mwenyezi Mungu kuwa sadaka ya kuinuliwa, nayo itakuwa fungu lako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha twaa kidari cha huyo kondoo wa kuwekwa kwake Haruni kwa kazi takatifu, na kukitikisa-tikisa kiwe sadaka ya kutikiswa mbele za Bwana; nacho kitakuwa ni sehemu yako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Kisha utachukua kidari cha huyo kondoo wa kumweka wakfu Aroni, na kufanya ishara ya kunitolea mimi Mwenyezi-Mungu. Nacho kitakuwa sehemu yako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Baada ya wewe kuchukua kidari cha huyo kondoo dume wa kusimikwa kwa Aroni, kiinue mbele za BWANA kuwa sadaka ya kuinuliwa, nayo itakuwa fungu lako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Baada ya kuchukua kidari cha huyo kondoo dume wa kuwekwa wakfu kwa Haruni, kiinue mbele za bwana kuwa sadaka ya kuinuliwa, nayo itakuwa fungu lako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha twaa kidari cha huyo kondoo wa kuwekwa kwake Haruni kwa kazi takatifu, na kukitikisatikisa kiwe sadaka ya kutikiswa mbele za BWANA; nacho kitakuwa ni sehemu yako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Kisha utachukua kidari cha huyo kondoo wa kumweka wakfu Aroni, na kufanya ishara ya kunitolea mimi Mwenyezi-Mungu. Nacho kitakuwa sehemu yako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha uchukue kidari cha dume la kondoo la Haroni la kulijaza gao lake, ukipitishe mbele ya Bwana; kisha kitakuwa fungu lako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha twaa kidari cha huyo kondoo wa kuwekwa kwake Haruni kwa kazi takatifu, na kukitikisa-tikisa kiwe sadaka ya kutikiswa mbele za BWANA; nacho kitakuwa ni sehemu yako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha utatwaa kilali cha yule kondoo wa kumutakasa Haruni na kufanya kitambulisho cha kunitolea mimi Yawe. Nacho kitakuwa sehemu yako.