Exodus 29:27 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kuhani anapowekwa wakfu, kidari na paja la kondoo dume wa kuwekea wakfu vitaletwa na kuwekwa wakfu mbele yangu kwa kufanya ishara ya kunitolea, navyo vitakuwa vya Aroni na wanawe.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Weka wakfu zile sehemu za kondoo dume aliyetumika kwa kumweka wakfu Haruni na wanawe: kidari kile kilichoinuliwa na lile paja lililotolewa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nawe kitakase kile kidari cha ile sadaka ya kutikiswa, na lile paja la sadaka ya kuinuliwa, lililotikiswa, na lililoinuliwa juu, vya yule kondoo wa kuwekwa kwa kazi takatifu, huyo aliyekuwa kwa ajili ya Haruni, na huyo aliyekuwa kwa ajili ya wanawe;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kuhani anapowekwa wakfu, kidari na paja la kondoo dume wa kuwekea wakfu vitaletwa na kuwekwa wakfu mbele yangu kwa kufanya ishara ya kunitolea, navyo vitakuwa vya Aroni na wanawe.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Weka wakfu zile sehemu za kondoo dume aliyetumika kwa kumsimika Aroni na wanawe: kidari kile kilichoinuliwa na lile paja lililotolewa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Weka wakfu zile sehemu za kondoo dume aliyetumika kwa kumweka wakfu Haruni na wanawe: kidari kile kilichoinuliwa na lile paja lililotolewa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nawe kitakase kile kidari cha ile sadaka ya kutikiswa, na lile paja la sadaka ya kuinuliwa, lililotikiswa, na lililoinuliwa juu, vya yule kondoo wa kuwekwa kwa kazi takatifu, huyo aliyekuwa kwa ajili ya Haruni, na huyo aliyekuwa kwa ajili ya wanawe;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kuhani anapowekwa wakfu, kidari na paja la kondoo dume wa kuwekea wakfu vitaletwa na kuwekwa wakfu mbele yangu kwa kufanya ishara ya kunitolea, navyo vitakuwa vya Aroni na wanawe.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndivyo, utakavyokitakasa kidari kuwa kipaji cha tambiko cha kupitishwa motoni, hata paja kuwa kipaji cha tambiko cha kunyanyuliwa, maana kidari kilipitishwa motoni, nalo paja lilinyanyuliwa kuwa lake Bwana; nacho hicho kidari pamoja na hilo paja yalitoka kwa dume la kondoo wa Haroni na wa wanawe aliyetolewa kuyajaza magao yao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nawe kitakase kile kidari cha ile sadaka ya kutikiswa, na lile paja la sadaka ya kuinuliwa, lililotikiswa, na lililoinuliwa juu, vya yule kondoo wa kuwekwa kwa kazi takatifu, huyo aliyekuwa kwa ajili ya Haruni, na huyo aliyekuwa kwa ajili ya wanawe;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kuhani anapotakaswa, kilali na paja la kondoo dume wa utakaso vitaletwa na kutakaswa mbele yangu kwa kufanya kitambulisho cha kunitolea, navyo vitakuwa vya Haruni na wana wake.