Exodus 29:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha iweke hiyo mikate ndani ya kikapu kimoja na kunitolea wakati mmoja na yule ndama dume na wale kondoo dume wawili.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Viwekwe vyote ndani ya kikapu na kuvitoa pamoja na yule fahali na wale kondoo dume wawili.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nawe vitie vyote katika kikapu, uvilete ndani ya kikapu, pamoja na huyo ng'ombe, na hao kondoo waume wawili.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha iweke hiyo mikate ndani ya kikapu kimoja na kunitolea wakati mmoja na yule ndama dume na wale kondoo dume wawili.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Viwekwe vyote ndani ya kikapu na kuvitoa pamoja na yule fahali na wale kondoo waume wawili.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Viwekwe vyote ndani ya kikapu na kuvitoa pamoja na yule fahali na wale kondoo dume wawili.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nawe vitie vyote katika kikapu, uvilete ndani ya kikapu, pamoja na huyo ng'ombe, na hao kondoo dume wawili.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha iweke hiyo mikate ndani ya kikapu kimoja na kunitolea wakati mmoja na yule ndama dume na wale kondoo dume wawili.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha yote uyatie katika kikapu kimoja, uyapeleke humo kikapuni pamoja na yule dume la ng'ombe na wale madume mawili ya kondoo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nawe vitie vyote katika kikapu, uvilete ndani ya kikapu, pamoja na huyo ng’ombe, na hao kondoo waume wawili.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha uweke hiyo mikate ndani ya kikapu kimoja na kunitolea wakati mumoja na yule mwana-ngombe dume na wale kondoo dume wawili.