Exodus 29:31 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Utachukua nyama ya huyo kondoo wa kuwaweka wakfu na kuichemshia katika mahali patakatifu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Chukua nyama ya huyo kondoo dume wa kuwaweka wakfu uipike katika Mahali Patakatifu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nawe twaa huyo kondoo mume aliyekuwa wa kuwekwa kwa kazi takatifu, na kuitokosa nyama yake katika mahali patakatifu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Utachukua nyama ya huyo kondoo wa kuwaweka wakfu na kuichemshia katika mahali patakatifu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Chukua nyama ya huyo kondoo dume wa kuwasimika uipike katika Mahali Patakatifu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Chukua nyama ya huyo kondoo dume wa kuwaweka wakfu uipike katika Mahali Patakatifu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nawe twaa huyo kondoo dume aliyekuwa wa kuwekwa kwa kazi takatifu, na kuitokosa nyama yake katika mahali patakatifu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Utachukua nyama ya huyo kondoo wa kuwaweka wakfu na kuichemshia katika mahali patakatifu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini huyo dume la kondoo aliyetolewa kuwajaza magao sharti umchukue, uzitokose nyama zake mahali patakatifu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nawe twaa huyo kondoo mume aliyekuwa wa kuwekwa kwa kazi takatifu, na kuitokosa nyama yake katika mahali patakatifu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Utatwaa nyama ya yule kondoo wa utakaso na kuitokotesha katika Pahali Patakatifu.