Exodus 29:32 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha utawapa Aroni na wanawe, nao wataila mlangoni pa hema la mkutano pamoja na ile mikate iliyosalia kapuni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Haruni na wanawe wataila ile nyama ya huyo kondoo dume pamoja na ile mikate iliyo kwenye hicho kikapu wakiwa hapo ingilio la Hema la Kukutania.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na Haruni na wanawe wataila ile nyama ya kondoo, na mikate iliyo katika kile kikapu, hapo mbele ya mlango wa hema ya kukutania.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha utawapa Aroni na wanawe, nao wataila mlangoni pa hema la mkutano pamoja na ile mikate iliyosalia kapuni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwenye ingilio la Hema la Kukutania, Aroni na wanawe wataila ile nyama ya huyo kondoo dume pamoja na ile mikate iliyo kwenye hicho kikapu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Haruni na wanawe wataila ile nyama ya huyo kondoo dume pamoja na ile mikate iliyo kwenye hicho kikapu wakiwa hapo ingilio la Hema la Kukutania.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na Haruni na wanawe wataila ile nyama ya kondoo, na mikate iliyo katika kile kikapu, hapo mbele ya mlango wa hema ya kukutania.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha utawapa Aroni na wanawe, nao wataila mlangoni pa hema la mkutano pamoja na ile mikate iliyosalia kapuni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye Haroni na wanawe na wazile nyama zake huyu dume la kondoo pamoja na mikate iliyomo katika kikapu hapo pa kuliingilia Hema la Mkutano.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na Haruni na wanawe wataila ile nyama ya kondoo, na mikate iliyo katika kile kikapu, hapo mbele ya mlango wa hema ya kukutania.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha utawapa Haruni na wana wake, nao wataikula kwenye mulango wa hema la mukutano pamoja na ile mikate iliyobakia katika kikapu.