Exodus 29:34 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kama nyama yoyote au mikate hiyo itasalia mpaka asubuhi yake, basi utaiteketeza kwa moto; isiliwe maana ni kitu kitakatifu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ikiwa nyama yoyote ya huyo kondoo dume iliyotumika kwa kuwaweka wakfu au mkate wowote umebaki hadi asubuhi, vichomwe. Kamwe visiliwe, kwa sababu ni vitakatifu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na kwamba kitu cho chote cha ile nyama, iliyo kwa ajili ya kuweka kwa kazi takatifu, au cho chote cha hiyo mikate, kikisalia hata asubuhi, ndipo utavichoma kwa moto hivyo vilivyosalia; havitaliwa, maana, ni vitu vitakatifu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kama nyama yoyote au mikate hiyo itasalia mpaka asubuhi yake, basi utaiteketeza kwa moto; isiliwe maana ni kitu kitakatifu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ikiwa nyama yo yote ya huyo kondoo dume iliyotumika kwa kuwasimika au mkate wo wote umebaki mpaka asubuhi, vichomwe. Kamwe visiliwe, kwa sababu ni vitakatifu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ikiwa nyama yoyote ya huyo kondoo dume iliyotumika kwa kuwaweka wakfu au mkate wowote umebaki mpaka asubuhi, vichomwe. Kamwe visiliwe, kwa sababu ni vitakatifu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na kwamba kitu chochote cha ile nyama, iliyo kwa ajili ya kuweka kwa kazi takatifu, au chochote cha hiyo mikate, kikisalia hata asubuhi, ndipo utavichoma kwa moto hivyo vilivyosalia; havitaliwa, maana, ni vitu vitakatifu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kama nyama yoyote au mikate hiyo itasalia mpaka asubuhi yake, basi utaiteketeza kwa moto; isiliwe maana ni kitu kitakatifu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kama ziko nyama zitakazosalia zilizokuwa za kuwajaza magao, au kama iko mikate itakayosalia mpaka kesho, sharti uyateketeze hayo masao kwa moto, yasiliwe na mtu, kwani ni matakatifu nayo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na kwamba kitu cho chote cha ile nyama, iliyo kwa ajili ya kuweka kwa kazi takatifu, au cho chote cha hiyo mikate, kikisalia hata asubuhi, ndipo utavichoma kwa moto hivyo vilivyosalia; havitaliwa, maana, ni vitu vitakatifu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kama nyama yoyote au mikate hiyo itabakia mpaka asubui yake, basi utaiteketeza kwa moto. Isikuliwe maana ni kitu kitakatifu.