Exodus 29:38 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Kila siku, wakati wote ujao, utatolea sadaka juu ya madhabahu: Wanakondoo wawili wenye umri wa mwaka mmoja.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Kwa kawaida hiki ndicho utakachotoa juu ya madhabahu kila siku: wana-kondoo wawili wenye umri wa mwaka mmoja.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi sadaka utakazozitoa juu ya madhabahu ni hizi; wana-kondoo wa mwaka mmoja wawili siku baada ya siku daima.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Kila siku, wakati wote ujao, utatolea sadaka juu ya madhabahu: wanakondoo wawili wenye umri wa mwaka mmoja.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Kwa kawaida hiki ndicho utakachotoa juu ya madhabahu kila siku: wana-kondoo wawili wenye umri wa mwaka mmoja.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Kwa kawaida hiki ndicho utakachotoa juu ya madhabahu kila siku: wana-kondoo wawili wenye umri wa mwaka mmoja.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi sadaka utakazozitoa juu ya madhabahu ni hizi; wana-kondoo wawili wa mwaka mmoja kila siku.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Kila siku, wakati wote ujao, utatolea sadaka juu ya madhabahu: Wanakondoo wawili wenye umri wa mwaka mmoja.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nayo haya ndiyo, utolee mezani pa kutambikia: wana kondoo wawili wa mwaka mmoja kila siku pasipo kukoma.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi sadaka utakazozitoa juu ya madhabahu ni hizi; wana-kondoo wa mwaka mmoja wawili siku baada ya siku daima.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kila siku, wakati wote unaokuja, utatolea sadaka juu ya mazabahu: wana-kondoo wawili wenye umri wa mwaka mumoja.