Exodus 29:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Kisha wapeleke Aroni na wanawe mlangoni pa hema la mkutano na kuwatawadha.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha mlete Haruni na wanawe kwenye lango la Hema la Kukutania na uwaoshe kwa maji.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha mlete Haruni na wanawe hata mlangoni pa hema ya kukutania, ukawaoshe kwa maji.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Kisha wapeleke Aroni na wanawe mlangoni pa hema la mkutano na kuwatawadha.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha mlete Aroni na wanawe kwenye lango la Hema la Kukutania na uwaoshe kwa maji.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha mlete Haruni na wanawe kwenye lango la Hema la Kukutania na uwaoshe kwa maji.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha mlete Haruni na wanawe hata mlangoni pa hema ya kukutania, ukawaoshe kwa maji.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Kisha wapeleke Aroni na wanawe mlangoni pa hema la mkutano na kuwatawadha.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha umfikishe Haroni pamoja na wanawe hapo pa kuliingilia Hema la Mkutano, uwaoshe kwa maji.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha mlete Haruni na wanawe hata mlangoni pa hema ya kukutania, ukawaoshe kwa maji.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha uwapeleke Haruni na wana wake kwenye mulango wa hema la mukutano na kuwanawisha.