Exodus 29:46 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hapo ndipo watakapotambua kuwa mimi ndimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wao, niliyewaleta kutoka nchi ya Misri, ili niishi kati yao. Mimi ndimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nao watajua kuwa Mimi Ndimi Mwenyezi Mungu, Mungu wao, aliyewatoa Misri ili nipate kufanya makao miongoni mwao. Mimi Ndimi Mwenyezi Mungu, Mungu wao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nao watanijua kuwa mimi ndimi Bwana, Mungu wao, niliyewaleta watoke katika nchi ya Misri, nipate kukaa kati yao; ni mimi Bwana Mungu wao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hapo ndipo watakapotambua kuwa mimi ndimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wao, niliyewaleta kutoka nchi ya Misri, ili niishi kati yao. Mimi ndimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nao watajua kuwa Mimi Ndimi BWANA Mungu wao, aliyewatoa Misri ili nipate kufanya makao miongoni mwao. Mimi Ndimi BWANA Mungu wao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nao watajua kuwa Mimi Ndimi bwana Mwenyezi Mungu wao, aliyewatoa Misri ili nipate kufanya makao miongoni mwao. Mimi Ndimi bwana Mwenyezi Mungu wao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nao watanijua kuwa mimi ndimi BWANA, Mungu wao, niliyewatoa katika nchi ya Misri, nipate kukaa kati yao; ni mimi BWANA Mungu wao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hapo ndipo watakapotambua kuwa mimi ndimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wao, niliyewaleta kutoka nchi ya Misri, ili niishi kati yao. Mimi ndimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao watajua, ya kuwa mimi Bwana ni Mungu wao aliyewatoa katika nchi ya Misri, nikae katikati yao, mimi Bwana niliye Mungu wao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nao watanijua kuwa mimi ndimi BWANA, Mungu wao, niliyewaleta watoke katika nchi ya Misri, nipate kukaa kati yao; ni mimi BWANA Mungu wao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hapo ndipo watakapotambua kwamba mimi ni Yawe, Mungu wao, niliyewaleta kutoka katika inchi ya Misri, kusudi niishi kati yao. Mimi ni Yawe, Mungu wao.