Exodus 29:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Tena utamvika kile kilemba kichwani na kuweka juu ya hicho kilemba ile taji takatifu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Weka kilemba kichwani mwake na kuweka taji takatifu lishikamane na hicho kilemba.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
nawe mvike kile kilemba kichwani, na ile taji takatifu utaitia katika kile kilemba.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Tena utamvika kile kilemba kichwani na kuweka juu ya hicho kilemba ile taji takatifu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Weka kilemba kichwani mwake na kuweka taji takatifu ishikamane na hicho kilemba.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Weka kilemba kichwani mwake na kuweka taji takatifu ishikamane na hicho kilemba.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
nawe mvike kile kilemba kichwani, na lile taji takatifu utalitia katika kile kilemba.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Tena utamvika kile kilemba kichwani na kuweka juu ya hicho kilemba ile taji takatifu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha umvike kilemba kichwani pake na kulitia lile bamba takatifu katika kilemba chake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
nawe mvike kile kilemba kichwani, na ile taji takatifu utaitia katika kile kilemba.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Tena utamuvalisha ile kofia juu ya kichwa na kuweka juu ya ile kofia ile taji takatifu.