Exodus 29:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Baada ya kufanya hivyo, utachukua yale mafuta ya kupaka, ummiminie Aroni kichwani mwake kumweka wakfu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Chukua yale mafuta ya upako umimine juu ya kichwa chake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndipo utakapotwaa hayo mafuta ya kutiwa, na kummiminia kichwani mwake, na kumtia mafuta.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Baada ya kufanya hivyo, utachukua yale mafuta ya kupaka, ummiminie Aroni kichwani mwake kumweka wakfu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Chukua yale mafuta ya upako umimine juu ya kichwa chake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Chukua yale mafuta ya upako umimine juu ya kichwa chake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndipo utakapotwaa hayo mafuta ya kupaka, na kummiminia kichwani mwake, na kumtia mafuta.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Baada ya kufanya hivyo, utachukua yale mafuta ya kupaka, ummiminie Aroni kichwani mwake kumweka wakfu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha chukua mafuta ya kumpaka, umpake na kuyamimina kichwani pake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo utakapotwaa hayo mafuta ya kutiwa, na kummiminia kichwani mwake, na kumtia mafuta.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha kufanya hivyo, utatwaa yale mafuta ya kupakaa, umumiminie Haruni juu ya kichwa chake kwa kumutakasa.