Exodus 3:14 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mungu akamjibu, “MIMI NDIMI NILIYE. Waambie hivi watu wa Israeli: Yule anayeitwa, NDIMI NILIYE, amenituma kwenu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mungu akamwambia Musa, “ Mimi niko ambaye niko. Hivyo ndivyo utakavyowaambia Waisraeli: ‘ Mimi niko amenituma kwenu.’ ”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mungu akamwambia Musa, MIMI NIKO AMBAYE NIKO;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mungu akamjibu, “MIMI NDIMI NILIYE. Waambie hivi watu wa Israeli: Yule anayeitwa, NDIMI NILIYE, amenituma kwenu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mungu akamwambia Mose, “MIMI NIKO AMBAYE NIKO. Hivyo ndivyo utakavyowaambia Waisraeli: ‘MIMI NIKO amenituma kwenu.’ ”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mungu akamwambia Musa, “ mimi niko ambaye niko. Hivyo ndivyo utakavyowaambia Waisraeli: ‘ mimi niko amenituma kwenu.’ ”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mungu akamwambia Musa, MIMI NIKO AMBAYE NIKO; akasema, Ndivyo utakavyowaambia wana wa Israeli; MIMI NIKO amenituma kwenu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mungu akamjibu, “MIMI NDIMI NILIYE. Waambie hivi watu wa Israeli: Yule anayeitwa, NDIMI NILIYE, amenituma kwenu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, Mungu alipomwambia Mose: Nitakuwa niliyekuwa. Akasema: Hivi ndivyo, utakavyowaambia wana wa Isiraeli: Nitakuwa amenituma kwenu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mungu akamwambia Musa, MIMI NIKO AMBAYE NIKO; akasema, Ndivyo utakavyowaambia wana wa Israeli; MIMI NIKO amenituma kwenu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mungu akamujibu: “Mimi Ndimi Ninayekuwa. Uwaambie watu wa Israeli kwamba: Yule anayeitwa Ndimi Ninayekuwa amekutuma kwao.