Exodus 30:1 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Utatengeneza madhabahu kwa mbao za mjohoro ili pawe mahali pa kufukizia ubani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Tengeneza madhabahu kwa mbao za mshita kwa ajili ya kufukizia uvumba.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nawe fanya madhabahu ya kufukizia uvumba; utaifanyiza kwa mti wa mshita.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Utatengeneza madhabahu kwa mbao za mjohoro ili pawe mahali pa kufukizia ubani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Tengeneza madhabahu ya mti wa mshita kwa ajili ya kufukizia uvumba.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Tengeneza madhabahu kwa mbao za mshita kwa ajili ya kufukizia uvumba.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nawe fanya madhabahu ya kufukizia uvumba; utaifanyiza kwa mti wa mshita.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Utatengeneza madhabahu kwa mbao za mjohoro ili pawe mahali pa kufukizia ubani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tengeneza nayo meza ya kuvukizia mavukizo, uitengeneze nayo kwa migunga.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nawe fanya madhabahu ya kufukizia uvumba; utaifanyiza kwa mti wa mshita.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Utatengeneza mazabahu kwa mbao za mujohoro kusudi pawe pahali pa kufukizia ubani.