Exodus 30:12 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Kila utakapowahesabu Waisraeli, kila mmoja atalipa fidia kwa ajili ya nafsi yake mbele yangu ili pasiwe na maradhi mabaya miongoni mwao wakati wa kuhesabiwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Utakapowahesabu Waisraeli, kila mmoja lazima alipe kwa Mwenyezi Mungu fidia kwa ajili ya nafsi yake wakati wa kuhesabiwa kwake. Ndipo hakutakuwa na pigo juu yao unapowahesabu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Utakapowahesabu wana wa Israeli, kama itakavyotokea hesabu yao, ndipo watakapompa Bwana kila mtu ukombozi kwa ajili ya roho yake, hapo utakapowahesabu; ili kwamba yasiwe maradhi kati yao, hapo utakapowahesabu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Kila utakapowahesabu Waisraeli, kila mmoja atalipa fidia kwa ajili ya nafsi yake mbele yangu ili pasiwe na maradhi mabaya miongoni mwao wakati wa kuhesabiwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Utakapowahesabu Waisraeli, kila mmoja lazima alipe kwa BWANA fidia kwa ajili ya nafsi yake wakati wa kuhesabiwa kwake. Ndipo hakutakuwa na pigo juu yao unapowahesabu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Utakapowahesabu Waisraeli, kila mmoja lazima alipe kwa bwana fidia kwa ajili ya nafsi yake wakati wa kuhesabiwa kwake. Ndipo hakutakuwa na pigo juu yao unapowahesabu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Utakapowahesabu wana wa Israeli, kama itakavyotokea hesabu yao, ndipo watakapompa BWANA kila mtu ukombozi kwa ajili ya roho yake, hapo utakapowahesabu; ili kwamba yasiwe maradhi kati yao, hapo utakapowahesabu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Kila utakapowahesabu Waisraeli, kila mmoja atalipa fidia kwa ajili ya nafsi yake mbele yangu ili pasiwe na maradhi mabaya miongoni mwao wakati wa kuhesabiwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ukivihesabu vichwa vyao wana wa Isiraeli, watakapokaguliwa, na wamtolee Bwana makombozi ya kuzikomboa roho zao, kila mtu yake kwa kukaguliwa, wasipatwe na pigo lo lote kwa kukaguliwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Utakapowahesabu wana wa Israeli, kama itakavyotokea hesabu yao, ndipo watakapompa BWANA kila mtu ukombozi kwa ajili ya roho yake, hapo utakapowahesabu; ili kwamba yasiwe maradhi kati yao, hapo utakapowahesabu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kila mara utakapowahesabu Waisraeli, kila mumoja atatoa malipo kwa Yawe kwa ajili ya nafsi yake kusudi kusikuwe hasara kati yao wakati wa kuhesabiwa.