Exodus 30:14 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kila mmoja atakayehesabiwa, tangu umri wa miaka ishirini na zaidi, atanitolea tambiko hiyo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wote wanaovuka, wenye umri wa miaka ishirini au zaidi, watatoa sadaka kwa Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kila mtu apitaye kwa wale waliohesabiwa tangu huyo ambaye umri wake ni miaka ishirini, au zaidi, atatoa hiyo sadaka ya Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kila mmoja atakayehesabiwa, tangu umri wa miaka ishirini na zaidi, atanitolea tambiko hiyo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wote wale wanaovuka, wenye umri wa miaka ishirini au zaidi, watatoa sadaka kwa BWANA.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wote wale wanaovuka, wenye umri wa miaka ishirini au zaidi, watatoa sadaka kwa bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kila mtu apitaye kwa wale waliohesabiwa tangu huyo ambaye umri wake ni miaka ishirini, au zaidi, atatoa hiyo sadaka ya BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kila mmoja atakayehesabiwa, tangu umri wa miaka ishirini na zaidi, atanitolea tambiko hiyo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kila atakayefika kukaguliwa mwenye miaka ishirini na zaidi sharti mnyanyulie Bwana hicho kipaji cha tambiko.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kila mtu apitaye kwa wale waliohesabiwa tangu huyo ambaye umri wake ni miaka ishirini, au zaidi, atatoa hiyo sadaka ya BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kila mumoja atakayehesabiwa, tangu umri wa miaka makumi mbili na zaidi, atanitolea sadaka hiyo.