Exodus 30:15 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Tajiri asitoe zaidi wala maskini asitoe chini ya nusu ya kiasi hicho cha fedha wakati mnaponitolea sadaka hiyo ili kufanya upatanisho.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Matajiri hawatalipa zaidi ya nusu shekeli, nao maskini hawatatoa pungufu wakati mnatoa sadaka kwa Mwenyezi Mungu kwa kufanya upatanisho wa nafsi zenu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Matajiri hawataleta zaidi, wala maskini hawataleta kilichopungua, katika hiyo nusu shekeli, watakapotoa hiyo sadaka ya Bwana, ili kufanya upatanisho kwa ajili ya roho zenu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Tajiri asitoe zaidi wala maskini asitoe chini ya nusu ya kiasi hicho cha fedha wakati mnaponitolea sadaka hiyo ili kufanya upatanisho.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Matajiri hawatalipa zaidi ya nusu shekeli, nao maskini hawatatoa pungufu wakati mnatoa sadaka kwa BWANA kwa kufanya upatanisho wa nafsi zenu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Matajiri hawatalipa zaidi ya nusu shekeli, nao maskini hawatatoa pungufu wakati mnatoa sadaka kwa bwana kwa kufanya upatanisho wa nafsi zenu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Matajiri hawataleta zaidi, wala maskini hawataleta kilichopungua, katika hiyo nusu shekeli, watakapotoa hiyo sadaka ya BWANA, ili kufanya upatanisho kwa ajili ya roho zenu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Tajiri asitoe zaidi wala maskini asitoe chini ya nusu ya kiasi hicho cha fedha wakati mnaponitolea sadaka hiyo ili kufanya upatanisho.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mwenye mali asilipe zaidi, wala mnyonge asiipunguze hiyo nusu ya fedha kuwa kipaji cha tambiko cha kumnyanyulia Bwana, wajipatie upozi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Matajiri hawataleta zaidi, wala maskini hawataleta kilichopungua, katika hiyo nusu shekeli, watakapotoa hiyo sadaka ya BWANA, ili kufanya upatanisho kwa ajili ya roho zenu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Tajiri asitoe zaidi wala masikini asitoe chini ya nusu ya shekeli wakati munaponitolea sadaka hiyo kwa kufanya upatanisho.