Exodus 30:19 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Aroni na wanawe watatumia maji hayo kunawia mikono na miguu,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Haruni na wanawe watanawa mikono na miguu yao kwa maji ya hilo sinia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na Haruni na wanawe wataosha mikono yao na miguu yao humo;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Aroni na wanawe watatumia maji hayo kunawia mikono na miguu,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Aroni na wanawe watanawa mikono na miguu yao kwa maji yatokayo katika hilo sinia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Haruni na wanawe watanawa mikono na miguu yao kwa maji yatokayo katika hilo sinia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na Haruni na wanawe wataosha mikono yao na miguu yao humo;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Aroni na wanawe watatumia maji hayo kunawia mikono na miguu,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Haroni na wanawe waoshe humo mikono na miguu yao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na Haruni na wanawe wataosha mikono yao na miguu yao humo;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Haruni na wana wake watatumia maji hayo kwa kunawa mikono na miguu,