Exodus 30:20 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
kabla ya kuingia kwenye hema la mkutano au kukaribia madhabahu ili kunitolea tambiko mimi Mwenyezi-Mungu, tambiko zitolewazo kwa moto; watafanya hivyo wasije wakafa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakati wowote wanapoingia katika Hema la Kukutania, watanawa kwa maji ili wasije wakafa. Pia, wanapokaribia madhabahu ili kuhudumu kwa kuleta sadaka zilizotolewa kwa Mwenyezi Mungu kwa moto,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
hapo waingiapo ndani ya hema ya kukutania; watajiosha majini, ili wasife; au hapo watakapoikaribia madhabahu ili watumike, kumteketezea Bwana sadaka ya moto;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
kabla ya kuingia kwenye hema la mkutano au kukaribia madhabahu ili kunitolea tambiko mimi Mwenyezi-Mungu, tambiko zitolewazo kwa moto; watafanya hivyo wasije wakafa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakati wo wote wanapoingia katika Hema la Kukutania, watanawa kwa maji ili kwamba wasije wakafa. Pia, wanapokaribia madhabahu ili kuhudumu kwa kuleta sadaka zilizotolewa kwa BWANA kwa moto,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakati wowote wanapoingia katika Hema la Kukutania, watanawa kwa maji ili kwamba wasije wakafa. Pia, wanapokaribia madhabahu ili kuhudumu kwa kuleta sadaka zilizotolewa kwa bwana kwa moto,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
hapo waingiapo ndani ya hema ya kukutania; watajiosha majini, ili wasife; au hapo watakapoikaribia madhabahu ili watumike, kumteketezea BWANA sadaka ya moto;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
kabla ya kuingia kwenye hema la mkutano au kukaribia madhabahu ili kunitolea tambiko mimi Mwenyezi-Mungu, tambiko zitolewazo kwa moto; watafanya hivyo wasije wakafa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Watakapoingia katika Hema la Mkutano wajiogeshe majini, wasife! Au watakapoikaribia meza ya Bwana, watumikie hapo na kumchomea Bwana ng'ombe ya tambiko ya kuteketezwa,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
hapo waingiapo ndani ya hema ya kukutania; watajiosha majini, ili wasife; au hapo watakapoikaribia madhabahu ili watumike, kumteketezea BWANA sadaka ya moto;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
mbele ya kuingia kwenye hema la mukutano au kukaribia mazabahu kwa kunitolea sadaka mimi Yawe, sadaka za kuteketezwa kwa moto. Watafanya hivyo kusudi wasikufe.