Exodus 30:21 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ni lazima wanawe mikono na miguu yao wasije wakafa. Hii itakuwa ni kanuni kwao daima, tangu Aroni na uzao wake, vizazi hata vizazi.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
watanawa mikono na miguu yao ili wasije wakafa. Hili litakuwa agizo la kudumu kwa Haruni na wazao wake kwa vizazi vijavyo.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
basi wataosha mikono yao na miguu yao ili kwamba wasife; na neno hili litakuwa amri kwao milele, kwake yeye na kwa wazao wake katika vizazi vyao vyote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ni lazima wanawe mikono na miguu yao wasije wakafa. Hii itakuwa ni kanuni kwao daima, tangu Aroni na uzao wake, vizazi hata vizazi.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
watanawa mikono na miguu yao ili kwamba wasije wakafa. Hii itakuwa ni amri ya kudumu kwa ajili ya Aroni na wazao wake kwa vizazi vijavyo.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
watanawa mikono na miguu yao ili kwamba wasije wakafa. Hii itakuwa ni amri ya kudumu kwa ajili ya Haruni na wazao wake kwa vizazi vijavyo.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
basi wataosha mikono yao na miguu yao ili kwamba wasife; na neno hili litakuwa amri kwao milele, kwake yeye na kwa wazao wake katika vizazi vyao vyote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ni lazima wanawe mikono na miguu yao wasije wakafa. Hii itakuwa ni kanuni kwao daima, tangu Aroni na uzao wake, vizazi hata vizazi.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
na waioshe mikono na miguu yao, wasife! Maongozi haya na yawe ya kale na kale kwake na kwa wazao wake na kwa vizazi vyao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
basi wataosha mikono yao na miguu yao ili kwamba wasife; na neno hili litakuwa amri kwao milele, kwake yeye na kwa wazao wake katika vizazi vyao vyote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wanapaswa kunawa mikono na miguu yao kusudi wasikufe. Hili ni sharti kwao siku zote, tangu Haruni na uzao wake, vizazi kwa vizazi.