Exodus 30:23 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Utachukua viungo bora kabisa kama vifuatavyo: Manemane ya maji kilo sita, mdalasini wenye harufu nzuri kilo tatu, miwa yenye harufu nzuri kilo tatu,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Chukua vikolezo bora vifuatavyo: shekeli mia tano za manemane ya maji, shekeli mia mbili na hamsini za mdalasini wenye harufu nzuri, shekeli mia mbili na hamsini za miwa yenye harufu nzuri,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Jitwalie manukato yaliyo bora, manemane mbichi shekeli mia tano, na mdalasini wenye harufu nzuri nusu ya kiasi hicho, yaani, shekeli mia mbili na hamsini, na kane shekeli mia mbili na hamsini,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Utachukua viungo bora kabisa kama vifuatavyo: manemane ya maji kilo sita, mdalasini wenye harufu nzuri kilo tatu, miwa yenye harufu nzuri kilo tatu,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Chukua vikolezi bora vifuatavyo: shekeli 500 za manemane ya maji, shekeli 250 za mdalasini wenye harufu nzuri, shekeli 250 za miwa yenye harufu nzuri,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Chukua vikolezi bora vifuatavyo: shekeli 500 za manemane ya maji, shekeli 250 za mdalasini wenye harufu nzuri, shekeli 250 za miwa yenye harufu nzuri,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Jitwalie manukato yaliyo bora, manemane mbichi shekeli mia tano, na mdalasini wenye harufu nzuri nusu ya kiasi hicho, yaani, shekeli mia mbili na hamsini, na miwa shekeli mia mbili na hamsini,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Utachukua viungo bora kabisa kama vifuatavyo: Manemane ya maji kilo sita, mdalasini wenye harufu nzuri kilo tatu, miwa yenye harufu nzuri kilo tatu,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Jichukulie manukato yaliyo mazuri mno: manemane mabichi sekeli 500, ndio ratli 20, tena nusu yao dalasini zinukazo vizuri sekeli 250, ndio ratli 10, tena vichiri vinukavyo vizuri sekeli 250, ndio ratli 10,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Jitwalie manukato yaliyo bora, manemane mbichi shekeli mia tano, na mdalasini wenye harufu nzuri nusu ya kiasi hicho, yaani, shekeli mia mbili na hamsini, na kane shekeli mia mbili na hamsini,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Utatwaa viungo bora kabisa kama hivi: manemane ya maji kilo sita, mudalasini wenye harufu nzuri kilo tatu, miwa yenye harufu nzuri kilo tatu,