Exodus 30:24 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
na aina nyingine ya mdalasini kilo 6 — vipimo hivyo vyote viwe kufuatana na vipimo vya hema takatifu; chukua pia lita 4 za mafuta.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
shekeli mia tano za aina nyingine ya mdalasini, vyote kulingana na shekeli ya mahali patakatifu, pia hini ya mafuta ya zeituni.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na kida shekeli mia tano, kwa kuiandama shekeli ya mahali patakatifu, na mafuta ya zeituni kiasi cha vibaba vitano;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
na aina nyingine ya mdalasini kilo 6 — vipimo hivyo vyote viwe kufuatana na vipimo vya hema takatifu; chukua pia lita 4 za mafuta.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
shekeli 500 za aina nyingine ya mdalasini, vyote kulingana na shekeli ya mahali patakatifu, pia hini ya mafuta ya zeituni.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
shekeli 500 za aina nyingine ya mdalasini, vyote kulingana na shekeli ya mahali patakatifu, pia hini ya mafuta ya zeituni.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na kida shekeli mia tano, kwa kuiandama shekeli ya mahali patakatifu, na mafuta ya zeituni kiasi cha vibaba vitano;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
na aina nyingine ya mdalasini kilo 6 – vipimo hivyo vyote viwe kufuatana na vipimo vya hema takatifu; chukua pia lita 4 za mafuta.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
na karafuu sekeli 500, ndio ratli 20 zilizopimwa kwa mizani ya Patakatifu, tena pishi moja ya mafuta ya chekele.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na kida shekeli mia tano, kwa kuiandama shekeli ya mahali patakatifu, na mafuta ya zeituni kiasi cha vibaba vitano;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
na aina nyingine ya mudalasini kilo sita – vipimo hivyo vyote vikuwe kufuatana na vipimo vya hema takatifu. Twaa vilevile litre ine za mafuta.