Exodus 30:25 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kutokana na viungo hivyo utatengeneza mafuta matakatifu uyachanganye kama afanyavyo fundi wa manukato; hayo yatatumika kuweka vitu wakfu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Vitengeneze vikolezo hivi kuwa mafuta matakatifu ya upako yenye harufu nzuri, kazi ya mtengeneza manukato. Yatakuwa mafuta matakatifu ya upako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
nawe utayafanya mafuta ya kutiwa matakatifu, marhamu iliyochanganywa kwa kazi ya ustadi ya mtengezaji manukato; yatakuwa ni mafuta matakatifu ya kutiwa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kutokana na viungo hivyo utatengeneza mafuta matakatifu uyachanganye kama afanyavyo fundi wa manukato; hayo yatatumika kuweka vitu wakfu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Vikolezi hivi vitengeneze kuwa mafuta matakatifu ya upako yenye harufu nzuri, kazi ya mtengeneza manukato. Yatakuwa mafuta matakatifu ya upako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Vitengeneze vikolezi hivi kuwa mafuta matakatifu ya upako yenye harufu nzuri, kazi ya mtengeneza manukato. Yatakuwa mafuta matakatifu ya upako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
nawe utayafanya mafuta ya kutiwa matakatifu, marhamu iliyochanganywa kwa kazi ya ustadi ya mtengezaji manukato; yatakuwa ni mafuta matakatifu ya kutiwa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kutokana na viungo hivyo utatengeneza mafuta matakatifu uyachanganye kama afanyavyo fundi wa manukato; hayo yatatumika kuweka vitu wakfu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha uyatengeneze kuwa mafuta matakatifu ya kupaka kwa kuchanganya mafuta na manukato, kama mtengeneza manukato aliye fundi anavyojua kuyatengeneza, yapate kuwa kweli mafuta matakatifu ya kupaka.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
nawe utayafanya mafuta ya kutiwa matakatifu, marhamu iliyochanganywa kwa kazi ya ustadi ya mtengezaji manukato; yatakuwa ni mafuta matakatifu ya kutiwa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kutokana na viungo hivyo utatengeneza mafuta matakatifu uyachanganye kama vile fundi wa manukato anavyofanya. Hayo yatatumika kwa kutakasa vitu.