Exodus 30:27 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
meza na vyombo vyake vyote; kinara cha taa na vyombo vyake, madhabahu ya kufukizia ubani,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
meza na vifaa vyake vyote, kinara cha taa na vifaa vyake vyote, madhabahu ya kufukizia uvumba,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na hiyo meza, na vyombo vyake vyote, na kinara cha taa, na vyombo vyake, na madhabahu ya kufukizia uvumba,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
meza na vyombo vyake vyote; kinara cha taa na vyombo vyake, madhabahu ya kufukizia ubani,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
meza na vifaa vyake vyote, kinara cha taa na vifaa vyake vyote, madhabahu ya kufukizia uvumba,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
meza na vifaa vyake vyote, kinara cha taa na vifaa vyake vyote, madhabahu ya kufukizia uvumba,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na hiyo meza, vyombo vyake vyote, kinara cha taa, vyombo vyake na madhabahu ya kufukizia uvumba,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
meza na vyombo vyake vyote; kinara cha taa na vyombo vyake, madhabahu ya kufukizia ubani,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
na meza na vyombo vyake vyote na kinara na vyombo vyake na meza ya kuvukizia,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na hiyo meza, na vyombo vyake vyote, na kinara cha taa, na vyombo vyake, na madhabahu ya kufukizia uvumba,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
meza na vyombo vyake vyote, kinara cha taa na vyombo vyake, mazabahu ya kufukizia ubani,