Exodus 30:28 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
madhabahu ya sadaka za kuteketezwa na vyombo vyake vyote, birika na tako lake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
madhabahu ya sadaka ya kuteketezwa na vyombo vyake vyote na sinia pamoja na kitako chake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na madhabahu ya kuteketezea sadaka, pamoja na vyombo vyake vyote, na birika, na tako lake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
madhabahu ya sadaka za kuteketezwa na vyombo vyake vyote, birika na tako lake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
madhabahu ya sadaka ya kuteketezwa na vyombo vyake vyote na sinia pamoja na kitako chake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
madhabahu ya sadaka ya kuteketezwa na vyombo vyake vyote na sinia pamoja na kitako chake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na madhabahu ya kuteketezea sadaka, pamoja na vyombo vyake vyote, na birika, na kitako chake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
madhabahu ya sadaka za kuteketezwa na vyombo vyake vyote, birika na tako lake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
na meza ya kuteketezea ng'ombe za tambiko na vyombo vyake vyote na birika na wekeo lake,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na madhabahu ya kuteketezea sadaka, pamoja na vyombo vyake vyote, na birika, na tako lake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
mazabahu ya sadaka za kuteketezwa kwa moto na vyombo vyake vyote, na birika na tako lake.