Exodus 30:29 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Utaviweka wakfu, ili viwe vitakatifu kabisa. Chochote kitakachovigusa vifaa hivyo, kitakuwa kitakatifu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Utaviweka wakfu ili viwe vitakatifu sana na kila kitakachoigusa kitakuwa kitakatifu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nawe utavitakasa vitu hivyo, ili viwe vitakatifu sana; tena kila kivigusacho vyombo vile kitakuwa kitakatifu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Utaviweka wakfu, ili viwe vitakatifu kabisa. Chochote kitakachovigusa vifaa hivyo, kitakuwa kitakatifu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Utaviweka wakfu ili viwe vitakatifu sana na kila kitakachoigusa kitakuwa kitakatifu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Utaviweka wakfu ili viwe vitakatifu sana na kila kitakachoigusa kitakuwa kitakatifu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nawe utavitakasa vitu hivyo, ili viwe vitakatifu sana; tena kila kivigusacho vyombo vile kitakuwa kitakatifu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Utaviweka wakfu, ili viwe vitakatifu kabisa. Chochote kitakachovigusa vifaa hivyo, kitakuwa kitakatifu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
uvitakase hivyo, vipate kuwa vitakatifu vyenyewe. Kisha kila atakayevigusa sharti awe ametolewa kuwa mtakatifu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nawe utavitakasa vitu hivyo, ili viwe vitakatifu sana; tena kila kivigusacho vyombo vile kitakuwa kitakatifu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Utavitakasa, kusudi vikuwe vitakatifu kabisa. Chochote kitakachogusa vifaa hivyo, kitakuwa kitakatifu.