Exodus 30:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yote utaipaka dhahabu safi: Upande wake wa juu, pande zake zote za ubavuni na pembe zake; pia utaizungushia ukingo wa dhahabu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Funika hayo madhabahu juu na pande zote na pia pembe zake kwa dhahabu safi, na uifanyizie ukingo wa dhahabu kuizunguka.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nawe utaifunikiza dhahabu safi juu yake, na mbavu zake kando kando, na pembe zake; nawe utaifanyia ukingo wa dhahabu kuizunguka.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yote utaipaka dhahabu safi: upande wake wa juu, pande zake zote za ubavuni na pembe zake; pia utaizungushia ukingo wa dhahabu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Funika juu ya hiyo madhabahu, na pande zote na pembe zake kwa dhahabu safi, na ufanyize ukingo wa dhahabu kuizunguka.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Funika hayo madhabahu juu na pande zote na pia pembe zake kwa dhahabu safi, na uifanyizie ukingo wa dhahabu kuizunguka.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nawe utaifunikiza dhahabu safi juu yake, na mbavu zake kandokando, na pembe zake; nawe utaifanyia ukingo wa dhahabu kuizunguka.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yote utaipaka dhahabu safi: Upande wake wa juu, pande zake zote za ubavuni na pembe zake; pia utaizungushia ukingo wa dhahabu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Uifunikize dhahabu tupu juu yake na kando yake pande zote na pembe zake, kisha uzungushe juu yake taji la dhahabu pande zote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nawe utaifunikiza dhahabu safi juu yake, na mbavu zake kando kando, na pembe zake; nawe utaifanyia ukingo wa dhahabu kuizunguka.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yote utaipakaa zahabu safi: upande wake wa juu, pande zake zote za ubavu na pembe zake. Vilevile utaizungushia ukingo wa zahabu.