Exodus 30:31 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Waambie Waisraeli kwamba haya yatakuwa mafuta yangu matakatifu ya kupaka katika vizazi vyenu vyote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Waambie Waisraeli, ‘Haya yatakuwa mafuta matakatifu yangu ya upako kwa vizazi vijavyo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nawe utanena na wana wa Israeli na kuwaambia, Haya yatakuwa ni mafuta matakatifu ya kutiwa kwa ajili yangu mimi katika vizazi vyenu vyote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Waambie Waisraeli kwamba haya yatakuwa mafuta yangu matakatifu ya kupaka katika vizazi vyenu vyote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Waambie Waisraeli, ‘Haya yatakuwa mafuta matakatifu yangu ya upako kwa vizazi vijavyo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Waambie Waisraeli, ‘Haya yatakuwa mafuta matakatifu yangu ya upako kwa vizazi vijavyo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nawe utanena na wana wa Israeli na kuwaambia, Haya yatakuwa ni mafuta matakatifu ya kutiwa kwa ajili yangu mimi katika vizazi vyenu vyote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Waambie Waisraeli kwamba haya yatakuwa mafuta yangu matakatifu ya kupaka katika vizazi vyenu vyote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao wana wa Isiraeli uwaambie kwamba: Hayo mafuta ya kupaka sharti yawe matakatifu kwa vizazi vyenu, kwa kuwa ni yangu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nawe utanena na wana wa Israeli na kuwaambia, Haya yatakuwa ni mafuta matakatifu ya kutiwa kwa ajili yangu mimi katika vizazi vyenu vyote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Uwaambie Waisraeli kwamba haya yatakuwa mafuta yangu matakatifu ya kupakaa katika vizazi vyenu vyote.