Exodus 30:37 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kamwe msifanye ubani wa mchanganyiko huo kwa matumizi yenu wenyewe kwani ubani huo utakuwa mtakatifu mbele yangu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Msitengeneze uvumba mwingine wowote wa namna hii kwa ajili yenu wenyewe; uoneni kuwa ni mtakatifu kwa Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na uvumba utakaofanya, hamtajifanyia uvumba wenye viungo sawasawa na uvumba huo; utakuwa kwenu mtakatifu kwa ajili ya Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kamwe msifanye ubani wa mchanganyiko huo kwa matumizi yenu wenyewe kwani ubani huo utakuwa mtakatifu mbele yangu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Msitengeneze uvumba mwingine wo wote wa namna hii kwa ajili yenu wenyewe; uoneni kuwa ni mtakatifu kwa BWANA.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Msitengeneze uvumba mwingine wowote wa namna hii kwa ajili yenu wenyewe; uoneni kuwa ni mtakatifu kwa bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na uvumba utakaofanya, hamtajifanyia uvumba wenye viungo sawasawa na uvumba huo; utakuwa kwenu mtakatifu kwa ajili ya BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kamwe msifanye ubani wa mchanganyiko huo kwa matumizi yenu wenyewe kwani ubani huo utakuwa mtakatifu mbele yangu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mavukizo mengine mtakayoyatengeneza, msiyatengeneze kuwa kama hayo, ila hayo sharti yawe matakatifu kwenu kwa kuwa yake Bwana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na uvumba utakaofanya, hamtajifanyia uvumba wenye viungo sawasawa na uvumba huo; utakuwa kwenu mtakatifu kwa ajili ya BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Musifanye hata kidogo ubani wa muchanganyiko huo kwa matumizi yenu wenyewe maana ubani huo utakuwa mutakatifu mbele yangu.