Exodus 30:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Tena atafukiza ubani wakati wa jioni anapowasha taa. Tambiko hii ya ubani itatolewa daima bila kukatizwa katika vizazi vyenu vyote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Itampasa afukize uvumba tena wakati anapowasha taa wakati wa machweo ili uvumba ufukizwe daima mbele za Mwenyezi Mungu kwa vizazi vijavyo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na Haruni atakapoziwasha zile taa wakati wa jioni, ataufukiza, uwe uvumba wa daima mbele za Bwana katika vizazi vyenu vyote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Tena atafukiza ubani wakati wa jioni anapowasha taa. tambiko hii ya ubani itatolewa daima bila kukatizwa katika vizazi vyenu vyote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Itampasa afukize uvumba tena wakati anapowasha taa wakati wa machweo ili uvumba ufukizwe daima mbele za BWANA kwa vizazi vijavyo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Itampasa afukize uvumba tena wakati anapowasha taa wakati wa machweo ili uvumba ufukizwe daima mbele za bwana kwa vizazi vijavyo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na Haruni atakapoziwasha zile taa wakati wa jioni, ataufukiza, uwe uvumba wa daima mbele za Bwana katika vizazi vyenu vyote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Tena atafukiza ubani wakati wa jioni anapowasha taa. Tambiko hii ya ubani itatolewa daima bila kukatizwa katika vizazi vyenu vyote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hata Haroni atakapoziwasha hizo taa saa za jioni na ayavukize tena, mavukizo yavukizwe mbele ya Bwana siku zote nao walio wa vizazi vyenu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na Haruni atakapoziwasha zile taa wakati wa jioni, ataufukiza, uwe uvumba wa daima mbele za Bwana katika vizazi vyenu vyote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Tena atafukiza ubani wakati wa magaribi anapowasha taa. Sadaka hii ya ubani itatolewa siku zote bila kukoma katika vizazi vyenu vyote.