Exodus 31:10 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
mavazi matakatifu ya kuhani Aroni na wanawe ambao watafanya huduma ya ukuhani,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
pamoja na mavazi matakatifu yaliyofumwa ya kuhani Haruni, na mavazi kwa ajili ya wanawe wakati wanahudumu katika kazi ya ukuhani,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na mavazi yenye kufumwa kwa uzuri, na mavazi matakatifu ya Haruni kuhani, na mavazi ya wanawe, ili kutumika katika kazi ya ukuhani;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
mavazi matakatifu ya kuhani Aroni na wanawe ambao watafanya huduma ya ukuhani,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
pamoja na mavazi matakatifu yaliyofumwa ya kuhani Aroni, na mavazi kwa ajili ya wanawe wakati wanahudumu katika kazi ya ukuhani,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
pamoja na mavazi matakatifu yaliyofumwa ya kuhani Haruni, na mavazi kwa ajili ya wanawe wakati wanahudumu katika kazi ya ukuhani,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na mavazi yenye kufumwa kwa uzuri, na mavazi matakatifu ya Haruni kuhani, na mavazi ya wanawe, ili kutumika kwa ajili ya huduma yao ya ukuhani;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
mavazi matakatifu ya kuhani Aroni na wanawe ambao watafanya huduma ya ukuhani,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
na nguo nzuri za mapazia na mavazi matakatifu ya mtambikaji Haroni na mavazi ya wanawe, wapate kuwa watambikaji,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na mavazi yenye kufumwa kwa uzuri, na mavazi matakatifu ya Haruni kuhani, na mavazi ya wanawe, ili kutumika katika kazi ya ukuhani;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
nguo takatifu ya kuhani Haruni na wana wake ambao watafanya kazi ya ukuhani,