Exodus 31:15 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mtafanya kazi zenu kwa muda wa siku sita, lakini siku ya saba ni siku rasmi ya mapumziko, ni siku yangu takatifu. Mtu yeyote atakayefanya kazi yoyote siku hiyo lazima atauawa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa siku sita, mtafanya kazi, lakini siku ya saba ni Sabato ya mapumziko, takatifu kwa Mwenyezi Mungu. Yeyote afanyaye kazi yoyote siku ya Sabato ni lazima auawe.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kazi itafanywa siku sita; lakini siku ya saba ni Sabato ya kustarehe kabisa, takatifu kwa Bwana; kila mtu atakayefanya kazi yo yote katika siku ya Sabato, hakika yake atauawa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mtafanya kazi zenu kwa muda wa siku sita, lakini siku ya saba ni siku rasmi ya mapumziko, ni siku yangu takatifu. Mtu yeyote atakayefanya kazi yoyote siku hiyo lazima atauawa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa siku sita, mtafanya kazi, lakini siku ya saba ni Sabato ya kupumzika, takatifu kwa BWANA. Ye yote afanyaye kazi yo yote siku ya Sabato ni lazima auawe.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa siku sita, mtafanya kazi, lakini siku ya saba ni Sabato ya kupumzika, takatifu kwa bwana. Yeyote afanyaye kazi yoyote siku ya Sabato ni lazima auawe.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kazi itafanywa siku sita; lakini siku ya saba ni Sabato ya kustarehe kabisa, takatifu kwa BWANA; kila mtu atakayefanya kazi yoyote katika siku ya Sabato, hana budi atauawa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mtafanya kazi zenu kwa muda wa siku sita, lakini siku ya saba ni siku rasmi ya mapumziko, ni siku yangu takatifu. Mtu yeyote atakayefanya kazi yoyote siku hiyo lazima atauawa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kazi na zifanywe siku sita, lakini siku ya saba ni siku ya sabato, ndio ya mapumziko kabisa, kwani ni siku takatifu ya Bwana. Kila atakayefanya kazi siku hiyo ya mapumziko hana budi kufa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kazi itafanywa siku sita; lakini siku ya saba ni Sabato ya kustarehe kabisa, takatifu kwa BWANA; kila mtu atakayefanya kazi yo yote katika siku ya Sabato, hakika yake atauawa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mutafanya kazi zenu kwa muda wa siku sita, lakini siku ya saba ni siku ya Sabato, ni siku ya kupumzika ambayo ni takatifu kwa ajili ya Yawe. Mutu yeyote atakayefanya kazi yoyote siku hiyo lazima atauawa.