Exodus 31:16 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa hiyo Waisraeli wataiadhimisha siku ya Sabato katika vizazi vyao vyote kama ishara ya agano la milele.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Waisraeli wataishika Sabato, kuiadhimisha kwa vizazi vijavyo kuwa agano la milele.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa ajili ya hayo wana wa Israeli wataishika Sabato, kuiangalia sana hiyo Sabato katika vizazi vyao vyote, ni agano la milele.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa hiyo Waisraeli wataiadhimisha siku ya Sabato katika vizazi vyao vyote kama ishara ya agano la milele.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Waisraeli wataishika Sabato, kuiadhimisha kwa vizazi vijavyo kuwa Agano la milele.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Waisraeli wataishika Sabato, kuiadhimisha kwa vizazi vijavyo kuwa Agano la milele.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa ajili ya hayo wana wa Israeli wataishika Sabato, kuiangalia sana hiyo Sabato katika vizazi vyao vyote, ni agano la milele.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa hiyo Waisraeli wataiadhimisha siku ya Sabato katika vizazi vyao vyote kama ishara ya agano la milele.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa hiyo wana wa Isiraeli sharti waiangalie siku ya mapumziko, huku kuiangalia siku ya mapumziko wakufanye kuwa agano la kale na kale kwa vizazi vyao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa ajili ya hayo wana wa Israeli wataishika Sabato, kuiangalia sana hiyo Sabato katika vizazi vyao vyote, ni agano la milele.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa hiyo Waisraeli watashika Sabato katika vizazi vyao vyote kama vile kitambulisho cha agano la milele.