Exodus 31:17 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Jambo hili litakuwa ishara ya kudumu kati ya Waisraeli na mimi, maana mimi Mwenyezi-Mungu nilifanya mbingu na dunia kwa muda wa siku sita, lakini siku ya saba niliacha kufanya kazi, nikapumzika.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Itakuwa ishara kati yangu na Waisraeli milele, kwa kuwa kwa muda wa siku sita Mwenyezi Mungu aliumba mbingu na dunia, akapumzika siku ya saba, akastarehe.’ ”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ni ishara kati ya mimi na wana wa Israeli milele; kwani kwa siku sita Bwana alifanya mbingu na nchi, akastarehe kwa siku ya saba na kupumzika.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Jambo hili litakuwa ishara ya kudumu kati ya Waisraeli na mimi, maana mimi Mwenyezi-Mungu nilifanya mbingu na dunia kwa muda wa siku sita, lakini siku ya saba niliacha kufanya kazi, nikapumzika.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Itakuwa ishara kati yangu na Waisraeli milele, kwa kuwa kwa muda wa siku sita BWANA aliumba mbingu na dunia, na siku ya saba akaacha kufanya kazi, akapumzika.’ ”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Itakuwa ishara kati yangu na Waisraeli milele, kwa kuwa kwa muda wa siku sita bwana aliumba mbingu na dunia, na siku ya saba akaacha kufanya kazi, akapumzika.’ ”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ni ishara kati ya mimi na wana wa Israeli milele; kwani kwa siku sita BWANA alifanya mbingu na nchi, akapumzika kwa siku ya saba na kustarehe.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Jambo hili litakuwa ishara ya kudumu kati ya Waisraeli na mimi, maana mimi Mwenyezi-Mungu nilifanya mbingu na dunia kwa muda wa siku sita, lakini siku ya saba niliacha kufanya kazi, nikapumzika.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hiki ni kielekezo cha kale na kale cha Agano, nililoliagana na wana wa Isiraeli, kwani Bwana alifanya kazi siku sita alipoziumba mbingu na nchi, lakini siku ya saba alipumzika na kutulia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ni ishara kati ya mimi na wana wa Israeli milele; kwani kwa siku sita BWANA alifanya mbingu na nchi, akastarehe kwa siku ya saba na kupumzika.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Jambo hili litakuwa kitambulisho cha kudumu kati ya Waisraeli na mimi, maana mimi Yawe nilifanya mbingu na dunia kwa muda wa siku sita, lakini siku ya saba niliacha kufanya kazi, nikapumzika.