Exodus 31:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
na kumjaza roho wangu. Nimempatia uzoefu na akili, maarifa na ufundi,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
nami nimemjaza Roho wa Mungu, pamoja na ustadi, uwezo na ujuzi katika aina zote za ufundi,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
nami nimemjaza roho ya Mungu, katika hekima, na maarifa, na ujuzi, na mambo ya kazi ya kila aina,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
na kumjaza roho wangu. Nimempatia uzoefu na akili, maarifa na ufundi,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
nami nimemjaza Roho wa Mungu, pamoja na ustadi, uwezo na maarifa katika aina zote za ufundi,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
nami nimemjaza Roho wa Mwenyezi Mungu, pamoja na ustadi, uwezo na ujuzi katika aina zote za ufundi,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
nami nimemjaza Roho ya Mungu, katika hekima, na maarifa, na ujuzi, na mambo ya kazi ya kila aina,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
na kumjaza roho wangu. Nimempatia uzoefu na akili, maarifa na ufundi,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nikamjaza roho yangu ya Kimungu na kumgawia werevu wa kweli na utambuzi na ujuzi wa kutengeneza kazi yo yote,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
nami nimemjaza roho ya Mungu, katika hekima, na maarifa, na ujuzi, na mambo ya kazi ya kila aina,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
na kumujaza Roho wangu. Nimemupatia ufahamu na akili, maarifa na ufundi,