Exodus 31:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nimempatia ujuzi wa kuchonga mawe ya kupambia, kuchonga mbao, na ujuzi wa kila aina ya ufundi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kuchonga vito na kuvitia mahali, kufanya ufundi kwa mbao, na kujishughulisha na aina zote za ufundi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na kukata vito kwa kutiwa mahali, na kuchora miti, na kufanya kazi ya ustadi iwayo yote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nimempatia ujuzi wa kuchonga mawe ya kupambia, kuchonga mbao, na ujuzi wa kila aina ya ufundi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kuchonga vito vya kutia mahali, kufanya kazi kwa mbao na kujishughulisha na aina zote za ufundi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kuchonga vito na kuvitia mahali, kufanya ufundi kwa mbao, na kujishughulisha na aina zote za ufundi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na kukata vito kwa kutiwa mahali, na kuchora miti, na kufanya kazi ya ustadi iwayo yote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nimempatia ujuzi wa kuchonga mawe ya kupambia, kuchonga mbao, na ujuzi wa kila aina ya ufundi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
naye ni fundi wa kukatakata vito na kuvizungushia vikingo na fundi wa kuchora miti na fundi wa kufanya kazi yo yote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na kukata vito kwa kutiwa mahali, na kuchora miti, na kufanya kazi ya ustadi iwayo yote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nimemupatia ujuzi wa kuchonga mawe ya kupamba, kuchonga mbao, na ujuzi wa kila aina ya ufundi.