Exodus 31:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hema la mkutano, sanduku la ushuhuda na kiti cha ushuhuda juu yake, pamoja na vifaa vyake vyote;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Hema la Kukutania, Sanduku la Ushuhuda pamoja na kiti cha rehema juu yake, pia na vifaa vyote vya kwenye hema:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
yaani, hema ya kukutania na sanduku la ushuhuda, na kiti cha rehema kilicho juu yake, na vyombo vyote vya Hema;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
hema la mkutano, sanduku la ushuhuda na kiti cha ushuhuda juu yake, pamoja na vifaa vyake vyote;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hema la Kukutania, Sanduku la Ushuhuda pamoja na kiti cha rehema juu yake, pia na vifaa vyote vya kwenye hema,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hema la Kukutania, Sanduku la Ushuhuda pamoja na kiti cha rehema juu yake, pia na vifaa vyote vya kwenye hema,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
yaani, hema ya kukutania na sanduku la ushuhuda, na kiti cha rehema kilicho juu yake, na vyombo vyote vya Hema;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hema la mkutano, sanduku la ushuhuda na kiti cha ushuhuda juu yake, pamoja na vifaa vyake vyote;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hema la Mkutano na Sanduku la Ushahidi na Kiti cha Upozi kilichoko juu yake na vyombo vyote vya hilo Hema,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
yaani, hema ya kukutania na sanduku la ushuhuda, na kiti cha rehema kilicho juu yake, na vyombo vyote vya Hema;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
hema la mukutano, Sanduku la Agano na kiti cha ushuhuda juu yake, pamoja na vifaa vyake vyote,