Exodus 31:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
meza na vyombo vyake, kinara safi cha taa na vyombo vyake, madhabahu ya kufukizia ubani,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
meza na vifaa vyake, kinara cha taa cha dhahabu safi na vifaa vyake vyote, madhabahu ya kufukizia uvumba,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na meza, na vyombo vyake, na kinara cha taa safi pamoja na vyombo vyake vyote, na madhabahu ya kufukizia uvumba;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
meza na vyombo vyake, kinara safi cha taa na vyombo vyake, madhabahu ya kufukizia ubani,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
meza na vifaa vyake, kinara cha taa cha dhahabu safi na vifaa vyake vyote, madhabahu ya kufukizia uvumba,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
meza na vifaa vyake, kinara cha taa cha dhahabu safi na vifaa vyake vyote, madhabahu ya kufukizia uvumba,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na meza, na vyombo vyake, na kinara cha taa safi pamoja na vyombo vyake vyote, na madhabahu ya kufukizia uvumba;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
meza na vyombo vyake, kinara safi cha taa na vyombo vyake, madhabahu ya kufukizia ubani,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
na meza na vyombo vyake, na kinara cha dhahabu tupu na vyombo vyake vyote na meza ya kuvukizia,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na meza, na vyombo vyake, na kinara cha taa safi pamoja na vyombo vyake vyote, na madhabahu ya kufukizia uvumba;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
meza na vyombo vyake, kinara safi cha taa na vyombo vyake, mazabahu ya kufukizia ubani,