Exodus 32:14 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, Mwenyezi-Mungu akaacha kuwafanyia watu wake lile jambo baya alilokuwa amesema.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha Mwenyezi Mungu akawaonea huruma, wala hakuleta juu ya watu wake maafa aliyokuwa amekusudia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na Bwana akaughairi ule uovu aliosema ya kwamba atawatenda watu wake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, Mwenyezi-Mungu akaacha kuwafanyia watu wake lile jambo baya alilokuwa amesema.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha BWANA akawaonea huruma, wala hakuleta juu ya watu wake maafa aliyokuwa amekusudia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha bwana akawaonea huruma, wala hakuleta juu ya watu wake maafa aliyokuwa amekusudia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na BWANA akaughairi ule uovu aliosema ya kwamba atawatenda watu wake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, Mwenyezi-Mungu akaacha kuwafanyia watu wake lile jambo baya alilokuwa amesema.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, Bwana alipogeuza moyo, asiwafanyie hayo mabaya, aliyoyasema, ya kuwa atawafanyizia wao walio ukoo wake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na BWANA akaughairi ule uovu aliosema ya kwamba atawatenda watu wake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, Yawe akaacha kuwafanyia watu wake lile jambo baya alilokuwa amesema.