Exodus 32:16 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Vibao hivyo vilikuwa kazi yake Mungu mwenyewe na maandishi hayo aliyachora Mungu mwenyewe.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Vibao hivyo vilikuwa kazi ya Mungu; maandishi yalikuwa mwandiko wa Mungu, yaliyochorwa kama muhuri juu ya vibao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na zile mbao zilikuwa kazi ya Mungu nayo maandiko yalikuwa maandiko ya Mungu, yaliyochorwa katika zile mbao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Vibao hivyo vilikuwa kazi yake Mungu mwenyewe na maandishi hayo aliyachora Mungu mwenyewe.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Vibao hivyo vilikuwa kazi ya Mungu; maandishi yalikuwa mwandiko wa Mungu, yaliyochorwa kama muhuri juu ya vibao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Vibao hivyo vilikuwa kazi ya Mungu; maandishi yalikuwa mwandiko wa Mungu, yaliyochorwa kama muhuri juu ya vibao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na zile mbao zilikuwa kazi ya Mungu nayo maandiko yalikuwa maandiko ya Mungu, yaliyochorwa katika zile mbao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Vibao hivyo vilikuwa kazi yake Mungu mwenyewe na maandishi hayo aliyachora Mungu mwenyewe.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tena hizi mbao zilikuwa kazi ya Mungu, nayo maandiko yalikuwa maandiko ya Mungu mwenyewe yaliyochorwa humo mbaoni.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na zile mbao zilikuwa kazi ya Mungu nayo maandiko yalikuwa maandiko ya Mungu, yaliyochorwa katika zile mbao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Vibao hivyo vilikuwa kazi ya Mungu mwenyewe na maandiko hayo Mungu mwenyewe aliyachora.