Exodus 32:17 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yoshua aliposikia kelele za watu, akamwambia Mose, “Kuna kelele za vita kambini.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yoshua aliposikia sauti za watu wakipiga kelele, akamwambia Musa, “Kuna sauti ya vita kambini.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na Yoshua aliposikia kelele za watu walipokuwa wakipiga kelele, akamwambia Musa, Kuna kelele ya vita maragoni.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yoshua aliposikia kelele za watu, akamwambia Mose, “Kuna kelele za vita kambini.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yoshua aliposikia sauti za watu wakipiga kelele, akamwambia Mose, “Kuna sauti ya vita kambini.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yoshua aliposikia sauti za watu wakipiga kelele, akamwambia Musa, “Kuna sauti ya vita kambini.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na Yoshua aliposikia kelele za watu walipokuwa wakipiga kelele, akamwambia Musa, Kuna kelele ya vita kambini.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yoshua aliposikia kelele za watu, akamwambia Mose, “Kuna kelele za vita kambini.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yosua alipozisikia sauti za makelele, watu waliyoyapiga, akamwambia Mose: Yako makelele makambini kama ya vita.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na Yoshua aliposikia kelele za watu walipokuwa wakipiga kelele, akamwambia Musa, Kuna kelele ya vita maragoni.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yoshua aliposikia kelele za watu, akamwambia Musa: Kuna kelele za vita ndani ya kambi.