Exodus 32:20 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, akamchukua yule ndama akamchoma moto, akamsaga mpaka akawa unga, akaukoroga unga huo katika maji na kuwalazimisha Waisraeli wanywe.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha akamchukua yule ndama waliokuwa wamemtengeneza na kumchoma kwenye moto, kisha akamsaga kuwa unga, akanyunyiza kwenye maji na kuwafanya Waisraeli wanywe.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akaitwaa ile ndama waliyoifanya, akaichoma moto, akaisaga hata ikawa mavumbi, akainyunyiza juu ya maji, akawanywesha wana wa Israeli.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, akamchukua yule ndama akamchoma moto, akamsaga mpaka akawa unga, akaukoroga unga huo katika maji na kuwalazimisha Waisraeli wanywe.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha akaichukua ile ndama waliyokuwa wameitengeneza na kuichoma kwenye moto, kisha akaisaga kuwa unga, akainyunyiza kwenye maji na kuwafanya Waisraeli wanywe.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha akamchukua yule ndama waliokuwa wamemtengeneza na kumchoma kwenye moto, kisha akamsaga kuwa unga, akanyunyiza kwenye maji na kuwafanya Waisraeli wanywe.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akaitwaa ile ndama waliyoifanya, akaichoma moto, akaisaga hata ikawa mavumbi, akainyunyiza juu ya maji, akawanywesha wana wa Israeli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, akamchukua yule ndama akamchoma moto, akamsaga mpaka akawa unga, akaukoroga unga huo katika maji na kuwalazimisha Waisraeli wanywe.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha akaichukua hiyo ndama, waliyoitengeza, akaitekeketeza kwa moto, akaipondaponda kuwa majivu, akayamwaga majini, akawapa wana wa Isiraeli, wayanywe.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akaitwaa ile ndama waliyoifanya, akaichoma moto, akaisaga hata ikawa mavumbi, akainyunyiza juu ya maji, akawanywesha wana wa Israeli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, akamutwaa yule mwana-ngombe akamuchoma kwa moto, akamusaga mpaka akakuwa unga, akakoroga unga huo katika maji na kuwalazimisha Waisraeli wakunywe.